Signpost:
What is PrayNet? Participate Material Net of Prayers How to pray?
Deutsch English French
What is Praynet?
Participate
How to order Material?
Net of Prayers
How to pray?
Pictures

Usibaki na Mtandao wa Mfumo wa mawazo ya Sala zako Mwenyewe -

Bali ushirikishe Mtandao na Mfumo huo kwa "PrayNet" ili na wengi wapate kunufaika.

Watoto kwa Vijani ulimwenguni pote wanaalikwa kubadilishana Sala zao katika kuusherehekea miaka 2000 ya Ukristo.

Kwa njia hii ya kubadilishana Sala, kunawawezesha Vijana kutoa hisia za Ndoto, Matumaini, Wasiwasi na Huzuni zao. Hisia hizo ziwazo, zinatakiwa kuandikwa katika Kadi Maalum ya "PrayNet" kwa au katika Lugha yako na ikiwezekana katika Lugha nyingine maadamu inaeleweka. Kwa maelezo zaidi angalia kwenye Bahasha.

Wakristo wote Ulimwenguni wanaalikwa kupawa nafasi na kuwatia moyo vijana ili kushiriki kwa moyo katika Mpango huu wa PrayNet:

  • Elezea Mpango na kiisha uingize katika kuuombea.
  • Msaidie Mshiriki katika kuiandika Kadi yake.
  • Iwakilishe vema PrayNet kwa kushirikisha kwenye
  • Mtandao (Net) mambo muhimu, halisi na ya hakika.

Kwa maelezo yenye mfano halisi, wahamasishe Watot au Vijana hao kuandika Mtandao na Mfumo wa mawazo ya Sala zao tu, bali pia Kuyachora na ikiwezekana kutengeneza Maumbo au Picha halisi ya mawazo yao.

Kiisha zikusanye Kadi zote zenye Sala tayari, pamoja na zile zisizoandikwa bado na kuzituma kwa marafiki watarajiwa.

Waombe Marafiki hao kuandika Sala zao katika Kadi tupu zilizotumwa kwao na hatimaye Kadi hizo kuzirudisha kwenu.

 

Watoto kwa Vijani ulimwenguni pote wanaalikwa kubadilishana Sala zao katika kuusherehekea miaka 2000 ya Ukristo.

Kwa njia hii ya kubadilishana Sala, kunawawezesha Vijana kutoa hisia za Ndoto, Matumaini, Wasiwasi na Huzuni zao. Hisia hizo ziwazo, zinatakiwa kuandikwa katika Kadi Maalum ya "PrayNet" kwa au katika Lugha yako na ikiwezekana katika Lugha nyingine maadamu inaeleweka. Kwa maelezo zaidi angalia kwenye Bahasha.

Wakristo wote Ulimwenguni wanaalikwa kupawa nafasi na kuwatia moyo vijana ili kushiriki kwa moyo katika Mpango huu wa PrayNet :

Elezea Mpango na kiisha zungumzia juu ya kuuombea.

Gawa Kadi ya "PrayNet" uliyoipata kwa Wengine wenye nia na

Moyo kwa mpango huu.

Watie moyo kuandika sala zao walizozitunga wenyewe kwenye Kadi.

Iwakilishe PrayNet kwa kuyashirikisha mambo muhimu, halisi na ya hakika kutoka mtu binafsi au Jamii husika.

Zikusanye na kuzituma Kadi zote zenye Sala kutoka kikundi chako kwa Marafiki mnaohusiana kama jibu kwa Sala kupitia Kadi walizo kwisha kuwaleteeni tayari.

Asante kwa PrayNet kwamba inawezesha maombi hayo kuwepo.

Kila mshiriki anawezeshewa kuwa sehemu ya PrayNet Ulimwenguni.

 

PrayNet News:
Images
News
Events
Prayer Requests
Prayer-Market /
Contact
Project Groups:
St Mary’s College, Crosby
Pfarrei Röttingen - Kerala/Indien
Tanunda Lutheran School, Australia
Konfirmaden 2003/2005 St. Lukas Schweinfurt
  Kisuaheli Aremenian Portugesian Russian